Kocha wa zamani wa Yanga, Mbelgiji Tom Saintfiet (kushoto) akiwa mjini Lausanne, Uswisi wakati wa upangaji wa droo ya michuano mipya ya Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA), iitwayo Ligi ya Mataifa ya UEFA jana ambako alikwenda kuiwakilisha timu yake ya sasa, Malta iliyopangwa na Faroe Islands, Azerbaijan na Kosovo kwenye michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Septemba mwaka huu.
Tom Saintfiet akifuatilia kwa makini droo ya michuano mipya mjini Lausanne, Uswisi jana

0 maoni:
Chapisha Maoni