• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 27, 2018

  SANCHEZ AANZA NA PASI ZA MABAO MAWILI MAN UNITED YASHINDA 4-0

  Mshambuliaji mpya, Alexis Sanchez (katikati) akipeana mikono na chipukizi Marcus Rashford (kulia) kabla ya kuanza kwa mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England dhidi ya wenyeji, Yeovil Town usiku wa Ijumaa Uwanja Huish Park mjini Yeovil, Somerset. Man United imeshinda 4-0, mabao yake yakifungwa na Rashford dakika ya 41, Ander Herrera dakika ya 61 wote pasi za Senchez, Jesse Lingard dakika ya 89 pasi ya Martin Darmian) na Romelu Lukaku dakika ya 90 na ushei, pasi ya Marcos Rojo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHEZ AANZA NA PASI ZA MABAO MAWILI MAN UNITED YASHINDA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top