• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 27, 2018

  RONALDO AFUNGA PENALTI MBILI REAL YAICHAPA 4-1 VALENCIA

  Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na wenzake kumpongeza Marcelo baada ya kuifungia Real Madrid bao la tatu dakika ya 84 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Valencia kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Mestalla. Ronaldo naye alifunga mabao mawili, yote kwa penalti dakika za 16 na 38 wakati bao la nne limefungwa na Toni Kroos dakika ya 89, huku la Valencia likifungwa na Santi Mina dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA PENALTI MBILI REAL YAICHAPA 4-1 VALENCIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top