YONDAN AKIMUONGOZA KAMANDA MUSLIM 'KIKAMANDA' LEO CHAMAZI
Nahodha wa Yanga, Kevin Yondan akimuongoza Kamanda wa Kikosi cha Polisi wa Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Muslim wakati wa kusalimi wachezaji kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Azam FC leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-1
Nahodha wa Azam FCm, Himid Mao akiwatambulisha wachezaji wenzake, Waghana kipa Razack Abalora na beki Yakubu MOhammed kwa Kamanda Fortunatus Muslim
0 comments:
Post a Comment