• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 31, 2018

  MICHY BATSHUAYI AKABIDHIWA RASMI MIKOBA YA AUBAMEYANG

  Mshambuliaji Michy Batshuayi akiwa ameshika jezi ya Borussia Dortmund baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo kutoka Chelsea kuziba pengo la Pierre-Emerick Aubameyang aliyehamia Arsenal kwa dau la Pauni Milioni 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MICHY BATSHUAYI AKABIDHIWA RASMI MIKOBA YA AUBAMEYANG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top