• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 31, 2018

  LIVERPOOL YAIKANDAMIZA HUDDERSFIELD TOWN 3-0 LIGI KUU ENGLANG

  Emre Can akiruka juu kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 26 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town Uwanja wa The John Smith mjini Huddersfield, West Yorkshire kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Wekundu hao, yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya 45 na Mohamed Salah dakika ya 78 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAIKANDAMIZA HUDDERSFIELD TOWN 3-0 LIGI KUU ENGLANG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top