Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling (katikati) akinyoosha vidole juu kushangili baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Cardiff City leo Uwanja wa Cardiff City katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England. Bao la kwanza lilifungwa na Kevin De Bruyne dakika ya nane huku, Cardiff ikimpoteza mchezaji wake, Joe Bennett aliyetolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment