Beki wa Yanga, Kevin Yondan (kushoto) akikabiliana na winga wa Singida United, Deus Kaseke katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Namfua, Singida timu hizo zikitioka sare ya 0-0
Beki wa Yanga, Gardiel Michael akimdhibiti mshambuliaji wa Singida United, Danny Usengimana
Kevin Yondan akiwa juu kuokoa kwa kichwa dhidi ya Deus Kaseke
Kocha wa Singida United, Hans van der Pluijm akizungumza na mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa
Kikosi cha Singida United kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana





0 comments:
Post a Comment