Raheem Sterling (kulia) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City dakika ya 84 ikiilaza Huddersfield Town 2-1 leo Uwanja wa The John Smith, West Yorkshire huo ukiwa ushindi wa 11 mfululizo katika Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza la Man City lilifungwa na Sergio Aguero kwa penalti dakika ya 47 baada ya Sterling kuangushwa kwenye boksi, wakati bao la Huddersfield Nicolas Otamendi alijifunga dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment