• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 30, 2017

  BARCELONA YAWAPIGA VIBONDE 5-0 KOMBE LA MFALME

  Mshambuliaji wa Barcelona, Paco Alcacer (kushoto) akishangilia mbele ya beki Gerard Pique baada ya wote kufunga katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Real Murcia kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Alcacer alifunga dakika ya 16, Pique 56 na mabao mengine yalifungwa na Aleix Vidal dakika ya 60, Denis Suarez dakika ya 74 na Jose Arnaiz dakika ya 79. Ushindi unamaanisha Barca inatinga 16 Bora kwa ushindi wa jumla wa 8-0 baada ya kushinda 3-0 kwenye mechi ya kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA YAWAPIGA VIBONDE 5-0 KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top