• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 25, 2017

  HAYE AONYESHA JERA LILILOSABABISHA AJITOE PAMBANO NA BELLEW

  David Haye akionyesha sehemu aliyofanyiwa upasuaji katika mkono wake baada ya kuanguka kwenye ngazi alipokuwa akifanya mazoezi na kusababisha ajitoe kwenye pambano la marudiano dhidi ya Tony Bellew lililopangwa kufanyika Desemba 17 ukumbi wa O2 baada ya kupigwa na mpinzani wake huyo awali kwa KO raundi ya 11 Machi mwaka huu. Pambano lingine sasa linaweza kufanyika Machi 24 au Mei 5 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAYE AONYESHA JERA LILILOSABABISHA AJITOE PAMBANO NA BELLEW Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top