• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 29, 2017

  REAL MADRID YATOA SARE NYUMBANI 2-2 KOMBE LA MFALME

  Borja Mayoral akishangilia baada ya kufingia mabao yote mawili Real Madrid dakika za 62 na 70 ikitoa sare ya 2-2 na Fuenlabrada katika mchezo wa Kombe a Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao ya Fuenlabrada yalifungwa na Luis Milla dakika ya 25 na Alvaro Portilla dakika ya 89 na Real inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-2 baada ya kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YATOA SARE NYUMBANI 2-2 KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top