Mshambuliaji Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Bayern Munich katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Anderlecht dakika ya 51 Uwanja wa Constant Vanden Stock mjini Bruxelles, ambalo linakuwa la 50 kwa klabu yake msimu huu. Bao lingine la Bayern Munich limefungwa na Corentin Tolisso dakika ya 77 na la Anderlecht limefungwa na Sofiane Hanni dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment