• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 25, 2017

  MAN UNITED YAICHAPA 1-0 BRIGHTON AND HOVE ALBION

  Romelu Lukaku akiwa amemrukia mchezaji mwenzake wa Manchester United, Ashley Young kumpongeza baada ya kufunga bao pekee dakika ya 66 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton and Hove Albion kufuatia shuti lake kumbabatiza Lewis Dunk na kutinga nyavuni Uwanja wa Old Trafford leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA 1-0 BRIGHTON AND HOVE ALBION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top