Bryan Cristante akimzidi ujanja Ashley Williams na kuifungia kwa kichwa Atalanta bao la pili dakika ya 63 akitoka kufunga la kwanza dakika ya 12 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya wenyeji, Everton usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool kwenye mchezo wa Kundi E Europa League. Mabao mengine ya Atalanta yalifungwa na Andreas Cornelius mawili pia dakika za 88 na 90 na ushei na Robin Gosens dakika ya 86 wakati la Everton lilifungwa na Sandro Ramírez dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Having autism has worked to my advantage in football - Bronze
-
Chelsea and England defender Lucy Bronze opens up for the first time about
her autism and ADHD diagnoses to raise awareness and help others.
56 minutes ago
0 comments:
Post a Comment