Beki Eliaquim Mangala (katikati) akiwa mazoezini na wenzake jana Manchester City ikijiandaa na mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya leo usiku dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi. Mangala anaweza kuanza katika beki ya kati leo kufuatia John Stones kuumia mwishoni mwa wiki kwenye mechi dhidi ya Leicester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment