• HABARI MPYA

  Sunday, November 26, 2017

  RAIS WA SIMBA 'AKIBURUDIKA' UWANJA WA UHURU LEO...

  Kaimu Rais wa klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try Again' akifuatili mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake dhidi ya Lipuli ya Iringa leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1. Kulia ni mpenzi na mwanachama wa klabu hiyo, Profesa Juma Othman Kapuya, Waziri wa zamani wa Michezo nchini
  Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tuliy akiwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Hajji Manara
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA SIMBA 'AKIBURUDIKA' UWANJA WA UHURU LEO... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top