TARIMBA NA BHINDA KWA UMAKINI KABISA WAKIISHUHUDIA YANGA YAO JANA
Mwenyekiti wa zamani wa Yanga SC, Tarimba Abbas (kulia) akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, Mohammed Bhinda jana Uwanja wa Uhuru wakiishuhudia timu hiyo ikiadhibu Mbeya City 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
0 comments:
Post a Comment