Mwanzo > YANGA > YANGA SC WAINGIZA SOKONI KALENDA YAO YA 2018 HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA YANGA YANGA SC WAINGIZA SOKONI KALENDA YAO YA 2018 Katibu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa akionyesha kalenda ya mwaka 2018 ya klabu hiyo ambayo iko tayari kwa mauzo. Yanga imeamua kutumia nembo yake kibiashara kwa kuuza bidhaa mbalimbali, ikiwemo jezi na kalenda. Tuesday, November 21, 2017 HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA YANGA
0 comments:
Post a Comment