Olivier Giroud akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 68 na 87 katika ushindi wa 5-0 wa Arsenal dhidi ya Huddersfield Town usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya The Gunners yalifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya tatu, Alexis Sanchez dakika ya 69 na Mesut Ozil dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rangers Add Jonathan Quick And Derick Brassard To Development Staff
-
The New York Rangers have bolstered their development staff with two new
additions.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment