Marek Suchy wa Basel akigombea mpira na Romelu Lukaku wa Manchester United katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa St Jakob Park mjini Basel, Uswisi. Basel imeshinda 1-0, bao pekee la Michael Lang dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
☕ Morning Recap: A look at Futaa's top stories from yesterday
-
Here are the top stories from yesterday as brought to you by the very
talented Futaa team! Newcastle 2-0 Arsenal: Gunners' Champions League hopes
extinguis...
Dakika 19 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni