• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 29, 2017

  ASHLEY YOUNG AFUNGA MAWILI, MAN UNITED YAIPIGA 4-2 WATFORD

  Ashley Young akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za 19 na 25 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Watford usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road. Mabao mengine ya United yalifungwa na Anthony Martial dakika ya 32 na Jesse Lingard dakika ya 86 wakati ya Watford yalifungwa na Troy Deeney dakika ya 77 kwa penalti baada ya Marcos Rojo kucheza rafu kwenye boksi na Abdoulaye Doucoure dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ASHLEY YOUNG AFUNGA MAWILI, MAN UNITED YAIPIGA 4-2 WATFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top