• HABARI MPYA

  Thursday, November 30, 2017

  SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YACHINJA 3-0 UGENINI

  Alberto Moreno (kushoto) akimpongeza Mohamed Salah baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 77 na 83 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Stoke City usiku wa jana Uwanja wa Bet365, Stoke-on-Trent, Staffordshire kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England, Bao la kwanza la Liverpool lilifungwa na Sadio Mane dakika ya 17 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YACHINJA 3-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top