• HABARI MPYA

  Wednesday, November 22, 2017

  MAFUNZO YA SOKA YANAYOTOLEWA NA WALIMU KUTOKA JUVENTUS

  Mwanasoka chipukizi, Ally Omar Bakhresa akionyesha kipaji chake katika mafunzo maalum ya soka yanayoendeshwa na wataalamu kutoka akademi ya Juventus nchini Italia kwenye viwanja vya kituo cha Michezo kwa Vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMK Youth Centre) eneo la Gerezani, Dar es Salaam    
  Ally Omar Bakhresa akicheza mpira kwa ustadi na kujiamini kuashiria kwamba akiendelezwa anaweza kuwa mchezaji mzuri 
  Mwanasoka mwingine chipukizi, Zayed Yussuf Bakhresa akivuta mpira kwa mguu wa 'dhahabu' wakati wa mafunzo hayo 
  Zayed Bakhresa amewavutia mno walimu kutoka akademi ya Juventus kwa uwezo wake 
  Mwanasoka mwingine chipukizi, Alex Mukiza akionyesha kipaji chake
  Mwalimu kutoka akademi ya Juventus ya Italia akitoa maelekezo kwa vijana waliojitokeza katika mafundisho hayo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAFUNZO YA SOKA YANAYOTOLEWA NA WALIMU KUTOKA JUVENTUS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top