• HABARI MPYA

  Thursday, November 30, 2017

  EVERTON YAFUFUA MAKALI, ROONEY APIGA HAT TRICK YASHINDA 4-0

  Wayne Rooney akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 18, 28 na 66 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya West Ham United usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park, Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la nne lilifungwa na Ashley Williams dakika ya 78, ushindi ambao unamkaribisha vizuri kocha mpya, Sam Allardyce PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON YAFUFUA MAKALI, ROONEY APIGA HAT TRICK YASHINDA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top