• HABARI MPYA

  Sunday, November 26, 2017

  NYUSO ZENYE KUASHIRIA KILICHOTOKEA LEO UWANJA WA UHURU!

  Mashabiki wa Simba wakifuatilia kwa unyonge mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yao na Lipuli ya Iringa wakati unaelekea ukingini timu hizo zikiwa zimefungana bao 1-1 Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Mchezo uliisha kwa sare ya 1-1
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYUSO ZENYE KUASHIRIA KILICHOTOKEA LEO UWANJA WA UHURU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top