Beki Mjerumani, Antonio Rudiger akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 55 ikiilaza 1-0 Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Garnacho wins Goal of the Month award
-
The award caps a magnificent May for the youngster and our Academy.
Dakika 5 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni