• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 27, 2017

  BALE AJIFUA REAL MADRID IKIJIANDAA NA KOMBE LA MFALME KESHO

  Gareth Bale akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Real Madrid baada ya kupona wakati timu hiyo ikijiandaa na mchezo wa Kombe la Mfalme kesho dhidi ya Fuenlabrada Uwanja wa Santiago Bernabeu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BALE AJIFUA REAL MADRID IKIJIANDAA NA KOMBE LA MFALME KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top