• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 26, 2017

  RONALDO AFUNGA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA 3-2 MALAGA

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 76 ikiwalza Malaga 3-2  katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema dakika ya tisa na Casemiro dakika ya 21, wakati ya Malaga yamefungwa na Diego Rolan dakika ya 18 na Gonzalo Castro PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA 3-2 MALAGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top