Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akifumua shuti kuifungia Real Madrid bao la sita dakika ya 54 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, APOEL kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Neo GSP mjini Nicosia nchini Cyprus. Ronaldo alifunga mabao mawili, lingine dakika ya 49, wakati mabao mengine ya Real yalifungwa na Luka Modric dakika ya 23, Karim Benzema mawili dakika za 39 na 45 na ushei na Nacho dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bronze opens up about autism & ADHD diagnoses
-
Chelsea and England defender Lucy Bronze speaks exclusively to BBC Sport,
telling Alex Scott about her autism and ADHD diagnoses, and how it affects
her li...
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment