• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 27, 2017

  SIMBA SC NA LIPULI FC KATIKA PICHA JANA UHURU

  Beki wa Simba, George Owino (kushoto) akiondoka na mpira baada ya kumzidi maarifa mshambuliaji wa Simba, John Bocco (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1
  Winga wa Simba Shiza Kichuya akimtoka beki wa Lipuli
  Kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Lipuli, Seif Abdallaha Karihe
  Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiondoka na mpira mbele ya mchezaji wa Lipuli 
  Mshambuliaji wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo (kushoto) akikimbilia mpira dhidi ya beki wa Lipuli, Mghana Asante Kwasi
  Kiungo wa Simba, Jonas Mkude (kulia) akinyoosha mguu kuudhibiti mpira dhidi ya mchezaji wa Lipuli 
  Kiungo Shaaban Zubery Ada wa Lipuli (kulia) akipambana na beki Ally Shomari wa Simba 
  Kipa wa Lipuli, Agathon Mkwando akiwa amedaka mpira chini, huku akilindwa na mabeki wake  
  Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana dhidi ya Lipuli 
  Kikosi cha Lipuli FC kilichoanza dhidi ya Simba jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA LIPULI FC KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top