OKWI ALIVYOISHUHUDIA SIMBA IKING'ANG'ANIWA NA LIPULI JANA
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (kushoto) akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya timu yake na Lipuli ya Iringa jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1
0 comments:
Post a Comment