• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 27, 2017

  NEYMAR NA CAVANI WOTE WAFUNGA PSG YAIPIGA 2-1 MONACO

  Neymar (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake Dani Alves na Draxler baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la pili dakika ya 52 kwa penalti katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Monaco kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Stade Louis II. mjini Monaco. Bao la kwanza lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 19, wakati la Monaco lilifungwa na Joao Moutinho dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NEYMAR NA CAVANI WOTE WAFUNGA PSG YAIPIGA 2-1 MONACO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top