• HABARI MPYA

  Thursday, November 23, 2017

  NEYMAR AFUNGA MAWILI, PSG WAITANDIKA CELTIC 7-1 ULAYA

  Nyota aliyesajiliwa Paris Saint-Germain kwa dau la rekodi ya dunia, Pauni Milioni 198, Neymar akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo mabao mawili dakika za tisa na 22 katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Celtic ya Scotland Uwanja wa Park des Princes mjini Paris, Ufaransa kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Edinson Cavani dakika za 28 na 79, Kylian Mbappe dakika ya 35, Marco Verratti dakika ya 75 na Dani Alves dakika ya 80, wakati bao la Celtic limefungwa na Moussa Dembele dakika ya kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AFUNGA MAWILI, PSG WAITANDIKA CELTIC 7-1 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top