• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 26, 2017

  MESSI ASAINI MKATABA BARCELONA HADI MWAKA 2021

  Lionel Messi akiwa na Rais wa Barcelona, Josep Bartomeu baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka minne kuendelea kuichezea klabu hiyo hadi mwaka 2021, ambao atakuwa analipwa Pauni 500,000 kwa wiki PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI ASAINI MKATABA BARCELONA HADI MWAKA 2021 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top