UKIMUONA JIRANI KASHIKA TAMA, MPE POLE TU...NA UMUAMBIE NDIO UKUBWA!
Mashabiki wa Yanga wakiwa wenye huzuni dakika za mwishoni za mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yao na Tanzania Prisons ya Mbeya, ambao umemalizika kwa sare ya 1-1 jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment