• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 23, 2017

  WILLIAN AGONGA MBILI, CHELSEA YASHINDA 4-0 ULAYA

  Willian akifurahia na mchezaji mwenzake wa Chelsea, Eden Hazard baada ya kufunga mabao mawili dakika za 36 na 85 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Qarabag usiku wa Jumatano Uwanja wa Bakı Olimpiya mjini Baku. Mabao mengine ya Chelsea katika mchezo huo wa Kundi C yamefungwa na Hazard dakika ya 21 na Cesc Fabregas dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WILLIAN AGONGA MBILI, CHELSEA YASHINDA 4-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top