IDDI MOSHI ALIKUWA MSHAMBULIAJI VIGUMU KUMDHIBITI YANGA
Mshambuliaji wa Yanga, Iddi Moshi Shaaban akimiliki mpira mbele ya beki wa Mtibwa Sugar, John Mabula (sasa marehemu) katika mchezo wa Kombe la Tusker mwaka 2000 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam. Pembeni kushoto ni kiungo Salvatory Edward wa Mtibwa
0 comments:
Post a Comment