Raheem Sterling akiruka juu kishujaa kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya sita ya muda wa nyingeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida ikiilaza 2-1 Southampton Uwanja wa Etihad usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanz la Man City lilifungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 47, kabla ya Oriol Romeu kuisawazishia Southampton dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment