• HABARI MPYA

  Wednesday, November 22, 2017

  KOCHA MRUNDI WA SIMBA AKIWANOA WACHEZAJI KUELEKEA MECHI NA LIPULI

  Kocha Msaidizi wa Simba, Mrundi Masudi Juma (katikati) akitoa maelekezo kwa wachezaji wake jana Uwanja wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania, Kurasini mjini Dar es Salaam wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Lipuli Jumapili Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Jijini  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MRUNDI WA SIMBA AKIWANOA WACHEZAJI KUELEKEA MECHI NA LIPULI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top