Mwanasoka wa kimataifa wa Nigeria, Victor Moses akiwasili na wachezaji wenzake wa klabu yake, Chelsea mjini Liverpool jana tayari kwa mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya klabu yake hiyo ya zamani, Liverpool aliyoichezea kwa mkopo msimu wa 2013-2014 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
U18s: United 2 Wolves 1
-
Read the story from Carrington as our young Reds were in floodlit league
action...
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment