Winga wa Liverpool, Mohamed Salah akinyoosha mikono kuashiria hataki kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kuongoza dakika ya 65 katika sare ya 1-1 na timu yake ya zamani, Chelsea usiku wa Jumamosi Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England, bao la The Blues likifungwa na Willian dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment