Mshambuliaji kinda wa umri wa miaka 21 wa FC Cologne, Sehrou Guirassy akisujudu kumshukuru Mungu baada ya kuifungia bao pekee timu yake dakika ya 62 kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Kundi H Europa League usiku wa jana Uwanja wa Rhein Energie mjini Cologne, Ujerumani. Arsenal iliingia kwenye mchezo ikiwa tayari imefuzu hatua ya mtoano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Julian Nagelsmann races back from skiing holiday to be SACKED by Bayern Munich
-
Julian Nagelsmann cut short his skiing holiday in Austria and raced back to
Bayern Munich's training ground on Friday, bracing himself for the chop
after n...
47 minutes ago
0 comments:
Post a Comment