• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 23, 2017

  BARCELONA NA MESSI WAO WALAZIMISHWA SARE NA JUVENTUS

  Kiungo wa Juventus, Claudio Marchisio (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA NA MESSI WAO WALAZIMISHWA SARE NA JUVENTUS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top