• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 26, 2017

  SANCHEZ AFUNGA KWA PENALTI, ARSENAL YASHINDA 1-0

  Wachezaji wa Arsenal wakimpongeza Alexis Sanchez baada ya nyota huyo wa Chile kufunga kwa penalti dakika ya 90 na ushei bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Burnley Uwanja wa Turf Moor kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHEZ AFUNGA KWA PENALTI, ARSENAL YASHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top