• HABARI MPYA

  Wednesday, November 22, 2017

  ZAYED NA ALLY BAKHRESA 'WATUA JUVENTUS' KWA MAFUNZO YA SOKA

  Mwanasoka chipukizi, Zayed Yussuf Bakhresa akiwa Uwanja wa JMK Park eneo la Gerezani, Dar es Salaam jana tayari kwa mafunzo maalum ya soka kwa vijana wadogo yanayotolewa na wataalamu kutoka akademi ya Juventus nchini Italia 
   
  Zayed (kulia) akiwa na ndugu yake, Ally Omar Bakhresa (kushoto) wote wamehudhuria kliniki hiyo inayotolewa na makocha kutoka akademi ya Juventus
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZAYED NA ALLY BAKHRESA 'WATUA JUVENTUS' KWA MAFUNZO YA SOKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top