Kiungo wa Azam FC, Mghana Enock Atta Agyei akianguka baada ya kukwatuliwa na beki wa Njombe Mji FC na kusababisha penalti ambayo Aggrey Morris aliifungia bao pekee la ushindi timu ikiwalaza 1-0 wenyeji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Saba Saba jana
Kiungo wa Azam FC, Salmin Hoza (kushoto) akinyoosha mguu kuunasa mpira dhidi ya mchezaji wa Njombe Mji
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia) akimiliki mpira pembeni ya mchezaji wa Njombe Mji FC
Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yusuph (kulia) akiwatoka wachezaji wa Njombe Mji FC
Bruce Kangwa wa Azam FC (kushoto) akikimbilia mpira dhidi ya mchezaji wa Njombe Mji
Kikosi cha Azam FC katika mchezo wa jana
F1 Q&A: Is this season Norris' best chance to win title?
-
Is this Lando Norris' best shot at the title, and what is 'scrubbing'
tyres? BBC F1 correspondent Andrew Benson answers your questions after the
Azerbaijan...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment