Beki wa kati, Pepe akimpongeza Manuel Fernandes baada ya kuifungia Ureno dakika ya 32 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Saudi Arabia usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Fontelo mjini Viseu. Mabao mengine ya Ureno iliyomkosa nyota wake, Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo yalifungwa na Goncalo Guedes dakika ya 52 na Joao Mario dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: World Cup fans are allowed to bring GUNS into Atlanta fanzone for
England-Argentina watch party
-
A little-known Georgia state law means World Cup fans attending Atlanta's
official FIFA Fan Fest are allowed to bring their handguns - much to the
shock of...
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment