TIMU ya England imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Dubai Banda ya ushindi wa mania 2-1 dhidi ya Norway isolines kuamkia leo Uwanja wa Hard Rock Jijini Miami Gardens, Dade County, Florida, Marekani.
Mabao yote ya Three Lions yamefumgwa na kiungo mshambuliaji Jude Victor William Bellingham mwenye asili ya Kenya anayechezea klabu ya Real Madrid ya Hispania aliyefunga dakika ya 45’+2 na 93 katika mchezo uliodumu kwa Danika 120.
Kwa uplande wao Norway bao lao pekee amefunga kiungo mshambuliaji wa Benfica ya Ureno, Andreas Rædergård Schjelderup dakika ya 36.
England sasa itakutana na mshindi kati ya Argentina na Uswisi zitakazomenyana baadaye leo Uwanja wa Arrowhead, Kansas City, Missouri, Marekani.



.png)
0 comments:
Post a Comment