Jakob Johansson akishangilia baada ya kuifungia Sweden bao peeke la ushindi dakika ya 61 na la kwanza kwake tangu aanze kuichezea timu yake hiyo ya taifa ikiilaza 1-0 Italia usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena mjini Solna katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Urusi. Italia watahitaji ushindi wa kuanzia 2-0 kwenye mchezo wa marudiano Uwanja wa San Siro ili kufuzu fainali za Urusi 2018 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL Rumors: Justin Fields May Stay QB1 Over Russell Wilson if Steelers
Defeat Broncos
-
Pittsburgh Steelers could stick with Justin Fields as the starting
quarterback regardless of Russell Wilson's status moving forward based on
how Sunday's g...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment